Edumis ni mfumo kamili wa kidijitali unaowezesha shule kusimamia wanafunzi, walimu, mitihani na matokeo ya NECTA, ada, ratiba na lesson plans — vyote mahali pamoja, kwa usalama na urahisi.
Edumis (Education Management Information System) huunganisha kila sehemu ya uendeshaji wa shule katika mfumo mmoja wa mtandaoni. Badala ya madaftari na Excel nyingi, shule inasimamia wanafunzi, walimu, mitihani, matokeo, ada na mawasiliano ya wazazi — kwa haraka, usahihi na usalama.
Sajili na simamia wanafunzi, madarasa, walimu na masomo kwa urahisi.
Weka alama, mfumo uhesabu GPA, division na report cards za PDF.
Fuatilia ada, malipo na salio; tuma vikumbusho kwa wazazi.
Tengeneza mipango ya somo ya kisasa kwa sekunde chache.
Chagua unachotaka kufanya — jisajili au ingia uanze.
Alama, GPA, division & report cards za NECTA.
Andalio la NECTA — Mtaala Mpya au wa Zamani.
Ratiba isiyogonganisha walimu na vipindi.
Vipengele vyote unavyohitaji katika mfumo mmoja
Tengeneza mpango wa masomo kwa kila somo na darasa kwa sekunde chache. Inafuata mtaala wa NECTA.
Weka alama, hesabu GPA na division kiotomatiki. Chapisha report cards za PDF kwa sekunde 30.
Piga picha ya karatasi ya alama — mfumo unasoma na kuziweka kwenye database peke yake.
Simamia ada, bili, malipo, mishahara na taarifa zote katika sehemu moja.
Tengeneza ratiba kiotomatiki — inaepuka migongano ya walimu na madarasa.
Wazazi wanaona matokeo, ada, na mahudhurio ya mtoto wao kwa simu yao.
Wasiliana na wazazi na walimu moja kwa moja kutoka kwenye mfumo.
Data ya shule yako imehifadhiwa kwa usalama wa hali ya juu na kwa siri kamili.
Kila kitu unachohitaji kusimamia shule yako katika mfumo mmoja
Fursa za ufadhili wa masomo kwa wanafunzi.
Inapakia...
Habari na taarifa mpya kutoka Edumis.
Inapakia...